Coat of Arms

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA

Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa

“ Kituo Cha Fursa ”

KSW Logo
Admissions
Admissions Guide

Namna ya Kuomba Kujiunga

Karibu Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa. Fuata maelekezo yafuatayo ili kujiunga na programu zetu za mafunzo.

Hatua za Kuomba Kujiunga

Waombaji wote wanapaswa kuchukua fomu ya maombi inayopatikana kupitia:

  • ✓ Kupitia Fomu ya Maombi
  • ✓ Au kufika chuoni katika Ofisi ya Mratibu wa Taaluma

Waombaji wa ngazi za NVA I, II na III wanatakiwa kulipa ada ya fomu isiyorejeshwa ya:

TZS 10,000/=
Ada ya Fomu ya Maombi

Muhimu Kuzingatia

  • 📌 Majina ya waombaji wote waliopata nafasi yatachapishwa kwenye tovuti hii.
  • 📌 Epuka kulipa fedha taslimu. Malipo yote yafanyike kupitia akaunti rasmi ya benki.

Taarifa za Benki

Jina la Akaunti
CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI BIGWA
Namba ya Akaunti
22101100068
Benki
National Microfinance Bank (NMB)

Mawasiliano

Mkuu wa Chuo
Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa

P.O. Box 339,
Morogoro, Tanzania

📞 +255 (0)719 576 309
📞 +255 (0)713 423 475

✉ usajili@bigwafdc.ac.tz

🌐 www.bigwafdc.ac.tz

Takwimu

8 Fani zinazotolewa
25 Watumishi
380+ Wanafunzi
10,000+ Wahitimu