Coat of Arms

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA

Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa

“ Kituo Cha Fursa ”

KSW Logo

Uzinduzi wa Karakana ya Ufundi wa Magari

📅 July 11, 2026
Uzinduzi wa Karakana ya Ufundi wa Magari
Mh.Diwani kata ya Bigwa Bw.Richard Mmanda(kushoto) na Mkuu wa Chuo Cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa (Kulia) Wakikata utepe katika uzinduzi wa hudu ya Ufundi wa Magari katika kilele cha Wiki ya Huduma kwa Jamii.
Katika kilele cha Maadhimisho ya wiki ya huduma kwa Jamii,Mh.Diwani wa kata ya Bigwa Bw.Richard Mmanda amezinduwa huduma ya matengenezo ya vyombo vya moto(Garage) katika karakana ya ufundi wa magari Chuoni na pia aliwaomba wananchi kuunga mkono juhudi za chuo kwa kuleta vyombo vyao vya usafiri kwaajili ya matengenezo

Mkuu wa Chuo Bi.Monica Lukeha Ametoa sukrani za dhati kwa jamii pia alisema Uwepo wa huduma ya gereji utasaidia wanafunzi katika kujifunza kwa vitendo na kuyafanya mafunzo kuwa na ufanisi.

Takwimu

8 Fani zinazotolewa
25 Watumishi
380+ Wanafunzi
10,000+ Wahitimu